Mkurugenzi wa Halmashauri ndiye mtendaji mkuu katika shughuli zote zinazofanyika katika Halmashauri ya Wilaya
unaweza kufanya mawasiliano na mkurugenzi kwa njia mbalimbali:
a. Kuja mojamoja ofisini Mkunwa ambapo utauliza kwa walinzi wa nje watakuruhusu na baadaye utaonana na 'PS' wake atakupa ruhusa ya kumwona Mkurugenzi
b.kwa kutumia barua pepe ambayo ni dedmtwara@mtwaradc.go.tz
c. Kwa kutumia sanduku la posta ambalo ni S.L.P 528 Mtwara
d. Kwa kutumia Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Mtwara ambayo ni www.mtwaradc.go.tz
Mtwara.
Anuani ya posta: 528.
Simu ya Mezani: 023-2333928
Simu: 023-2333928
Barua pepe: dedmtwara@mtwaradc.go.tz
Copyright ©2023 MTWARA DC . All rights reserved.