Vivutio vya Utalii
Muonekano wa Mlima wa mchanga uliopo Msimbati,
una urefu wa mita 15 na ukubwa wa km 17,
ukiwa kileleni una uwezo wa kuona
eneo la bahari na viumbe wake na nchi jirani ya msumbiji.
Eneo la ufukwe wa bahari lenye urefu wa km 15, ambalo
lina sifa ya kupitisha vyombo vya moto bila ardhi yake kutitia.
Eneo la mnazi bay linakupa nafasi nzuri sana ya
kushuhudia samaki aina ya pomboo (Dolphins) wakiwa wanaruka na kucheza baharini.
Pwani ya mnazi inaaminika kuwa ni eneo maalumu
ambalo viumbe aina ya papa wanazaliana katika ukanda wa bahari ya hindi.
Mtwara.
Anuani ya posta: 528.
Simu ya Mezani: 023-2333928
Simu: 023-2333928
Barua pepe: dedmtwara@mtwaradc.go.tz
Copyright ©2023 MTWARA DC . All rights reserved.