Qs. Omari J. Kipanga, Mkurugenzi Mtendaji, Mtwara Dc akiongea na wananchi wa Nanyati katika kikao cha kuhamasisha ujenzi wa Vyumba vya madarasa
Uzinduzi wa Zoezi la Upandaji Miti ya Mikorosho na Mitiki katika Wilaya ya Mtwara limefanyika katika Shule ya Sekondari ya Ndumbwe limeongozwa na Evord H. Mmanda, DC Mtwara.
Mkurugenzi Mtendaji Mtwara Dc, Qs. Omari J. Kipanga amewataka Viongozi wa BMU kuwa na kauli moja katika ulinzi wa Mali za Bahari ili Kuweza kujiinua Kiuchumi.
Copyright ©2023 MTWARA DC . All rights reserved.