Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Gelasius Byakanwa, akiweka bayana Mikakati ya kuinua ufaulu Mtwara...14/02/2018
Matokeo ya darasa la saba 2018, Mtwara imeshika nafasi ya Nane Kitaifa.
Kiongozi wa wananchi wa Nanyati akijinasibu mbele ya mwandishi kwa namna wanavyoiunga mkono serikali katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo.
Mwalimu mkuu wa S/M Nanyati akiongea namna alivyoweza kukamilisha ujenzi wa Vyumba vitatu vya madarasa kwa kushirikiana na wananchi
Copyright ©2023 MTWARA DC . All rights reserved.