Walimu wa darasani wametakiwa kujaza OPRAS kulingana na Majukumu yao ya kazi ili kufikia Malengo sahihi Kiutumishi.
Mafunzo ya OPRAS ya mwalimu mkoa wa mtwara yaonesha dalili za kuinua Mkoa huo kitaaluma.
Eneo lililotengwa mahsusi kwaajili ya Uwekezaji wa Viwanda katika Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara, lipo Msijute lenye ukubwa zaidi ya Ekari 4600, Karibuni wote
Copyright ©2023 MTWARA DC . All rights reserved.