JINA: Tatu Said Issike
TAREHE YA KUZALIWA: 12/11/1979
KIWANGO CHA ELIMU: Masters ; Business Administration (HRM) – University of Dar es Salaam (UDSM) 2007/2010
UZOEFU KAZINI: Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara Juni 6, 2023 hadi sasa
Afisa Utumishi na Rasilimali watu Mkuu. Mamlaka ya Bandari Tanzania Juni 2021
Afisa Utumishi na Rasilimali mwandamizi. Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa
umma na Utawala Bora Machi 2020 – Mei 2021.
Kaimu Afisa Utumishi na Rasilimali watu. Mamlaka ya Udhibiti wa Bima (TIRA) Nov 2019
– Machi 2020
Afisa Utumishi na Rasilimali watu mwandamizi. Mamlaka ya Udhibiti wa Bima (TIRA)
Nov 2018 – Oct 2019
Afisa Utumishi na Rasilimali watu Mkuu. Msajili wa Hazina 2013 Nov 2018
Afisa Utumishi. Wizara ya fedha na mambo ya uchumi. 2008 – 2013.
Afisa Tawala. University of Dar es Salaam (UDSM) 2006 - 2008
Mtwara.
Anuani ya posta: 528.
Simu ya Mezani: 023-2333928
Simu: 023-2333928
Barua pepe: dedmtwara@mtwaradc.go.tz
Copyright ©2023 MTWARA DC . All rights reserved.